Kwa habari za UHAKIKA na UKWELI like page yetu sasa :

Hezzo daking ni mwanamziki wa nyimbo za injili ambaye alikua kenya kimasomo na vile vile ni producer
 ndani ya hezzo production na kwa sasa yupo Tanzania kibaha mkoani pwani maeneo ya picha yandege kwa askofu mwaipopo {T.A.G} Anatoka na video ya hapo mwanzo unawezaitazama ndani ya soundcloud.com/hezzo daking, kwa sasa anatoka na nyimbo mpwa inayoitwa mwisho wa dunia

TOP 10 TALK OF TOWN

VISITORS

Flag Counter